Suluhisho za kisasa, salama na za bei nafuu kwa biashara, shule na taasisi.
Tunatoa suluhisho za teknolojia za kiwango cha kimataifa
Custom software kwa mahitaji yako – ERP, shule, maghala.
App Inventory: simamia bidhaa, mauzo, wateja na wadaiwa.
Wanafunzi, walimu, matokeo, malipo – inakuja hivi karibuni.
Warehouse Management System – kufuatilia bidhaa kwa usahihi.
Kusimamia karakana na mauzo ya magari kwa akili bandia.
Timu yetu iko tayari kukusaidia wakati wote.
Angalia baadhi ya mifumo tuliyoishatengeneza na inayotengenezwa
Usimamizi wa shule kwa teknolojia ya kisasa.
InatengenezwaKarakana + mauzo ya magari kwa AI.
InatengenezwaKusimamia maghala kwa ufanisi.
InatengenezwaFounder & CEO
Nina umri wa miaka 24, nina maono makubwa ya kuleta mageuzi ya teknolojia Tanzania na Afrika. Nimejifunza mwenyewe, nimejituma, na ninaamini kuwa teknolojia inaweza kubadilisha maisha. Pride Digital Solutions ni ndoto yangu ya kuunda suluhisho za kisasa, za bei nafuu na zinazowafikia wote.
Tupate maelezo, maoni au usaidizi
062 042 7214
info@pridedigital.co.tz
Dar es Salaam, Tanzania